dcsimg

Pesheni ( свахили )

добавил wikipedia emerging languages
 src=
Mafungu tofauti tofauti ya mapesheni yakiwa sokoni

Pesheni (kutoka Kiingereza passion fruit, yaani "Mateso (ya Yesu)"; kwa Kiswahili piaː karakara) ni tunda la mkarakara (au mpesheni), mmea unaotambaa ambalo ndani lina mbegu nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi. Mara nyingi hutumiwa kutengenezea juisi. Pia pesheni ni chanzo cha carotene, vitamini C na chuma.

Aina za pesheni

  • Pesheni au karakara jeusi (Passiflora edulis forma edulis)
  • Pesheni au karakara njano (P. edulis forma flavicarpa)
  • Pesheni au karakara tamu (P. ligularis)
  • Pesheni- au karakara-ndizi (P. tarminiana)
  • Pesehni au karakara kubwa (P. quadrangularis)

Picha

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pesheni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
лиценца
cc-by-sa-3.0
авторски права
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
изворно
посети извор
соработничко мреж. место
wikipedia emerging languages

Pesheni: Brief Summary ( свахили )

добавил wikipedia emerging languages
 src= Mafungu tofauti tofauti ya mapesheni yakiwa sokoni