dcsimg

Mshigi ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Mishigi ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika, Asia na Australia. Takriban spishi zote za Afrika ni ndege weusi au kahawia na weupe wenye pengine sehemu za rangi kali kama nyekundu, machungwa na njano. Spishi nyingi za Asia na Australia zina rangi kali kwa kipande kikubwa cha mwili. Ndege hawa hula mbegu hasa na wadudu pia, hususa makinda. Tago lao ni tufe la manyasi lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga mayai 4-7.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mshigi: Brief Summary ( Swahili )