dcsimg

Kupe (arakinida) ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Kupe ni arithropodi wa familia Ixodidae katika ngeli Arachnida (arakinida). Hujiama kwenye mwili wa mnyama na kufyonza damu kama chakula. Spishi nyingi ni wasumbufu juu ya wanyama wafugwao na wanaweza kusambaza magonjwa. Kwa kawaida kupe hujificha kwa nyasi au kwa udongo na hungojea wanyama kama ngombe au muzi ili amng'ate na kumnyonya damu. Kupe ni hatari sana maana huenda akawa ameyabeba magonjwa kama ule wa Lyme.

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kupe (arakinida) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri